NAFASI YA KAZI YA KUUZA DUKA LA DAWA ZIPO HAPA WAHI KUTUMA MAOMBI


 











Medical & Dental


Details


Employer Name: Hogla
Organization Type: Private Sector
Role: Entry Level
Position Type: Full Time
Location: Mbeya
Mbeya Vijijini
Application Deadline: 15-04-2017
Listed on: 30-03-2017
Description


nahitaji muuza duka la dawa, awe na cheti cha nursing hata kama ni assistant na cheti cha tfda ( cha tfda ni lazima) na atleast awe na cheti cha form four pia

duka lipo Chimala Mbeya, kama ni mkazi wa huko its an added advantage
mawasiliano
tuma ujumbe kwanza usipige

mshahara 100,000 pamoja na chumba cha kuishi
Application Instructions


Mwombaji awe wa jinsia ya kike ADDO Nurse. Nurse mwenye ujuzi na uzoefu wa kuuza duka la dawa. Mwaminifu, Mwenye kujituma na muwekaji mzuri wa kumbukumbu . Akubali kufanya kazi chimala mbeya Mwombaji tuma CV, nakala za vyeti vyako, barua ya maombi na mawasiliano yako kupitia email au maulizo kwa jia ya sms katika namba tajwa hapo juu

APPLY HERE

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "NAFASI YA KAZI YA KUUZA DUKA LA DAWA ZIPO HAPA WAHI KUTUMA MAOMBI "

Back To Top