POSITION OBJECTIVES
Driving company vehicles, and carry out other vehicles operation as instructed by procurement and transport officer in support of the company’s business operations. Key Responsibilities i. Driving company vehicles providing transport facilitation for various business operations of the region. ii. Maintain accurate, up-to-date record on trip sheet, transportation forms and vehicle maintenance, incident and accident reports and vehicle condition reports. iii. Operates assigned vehicles in a safe and courteous manner observing all traffic regulations to avoid accidents and loss to the company. iv. Produce incident reports, accident reports, vehicle conditions reports and other records that will be requested by management for purposes of making decisions related to vehicle’s conditions. v. Perform minor maintenance works on assigned vehicles to ensure the vehicle is in good condition that supports business operations. vi. Maintain fuel consumption of the assigned vehicles and reports all abnormalities to the relevant supervisors. vii. Monitor the schedule for minor and major vehicle maintenance to minimize service interruption.
KEY KNOWLEDGE, EXPERIENCE AND SKILLS REQUIRED FOR THE JOB Secondary Education Certificate (Form IV or VI). Certificate in Driving issued by NIT, VETA or any other recognized institution. Certificate of Competence issued by traffic department Driving license Class C, C1, C2, C3, D & E Minimum of 2 years of experience in driving from the reputable organization
REMUNERATION An attractive compensation package based on performance and commensurate with the responsibilities will apply to the successful candidates.
CLICK HERE TO APPLY ONLINE
75 Komentar untuk "NAFASI YA KAZI YA UDEREVA KUTOKA TANESCO TUMA MAOMBI HARAKA "
Naomba kazi
Naitwa john Emmanuel mbise kutoka mkoa wa singida
Ombilangu ni kaz ya udreva na uzoefu na gar na cheti na lesen pia kwa mawasiliano no'0756570740 mda wowote nipo online asant
Naitwa john Emmanuel mbise kutoka mkoa wa singida
Ombilangu ni kaz ya udreva na uzoefu na gar na cheti na lesen pia kwa mawasiliano no'0756570740 mda wowote nipo online asant
Naitwa Emmanuel Accaro natafuta kazi ya udereva nipo Dar no.0783704002
HABAR NAITWA WALLIAH CHAKA NIPO MKOA WA DAR NAOMBA KAZI YA UDEREVA NINA CHET CHA VETA PIA NINA LESENI NA NIMZOEFU MZULI WA HIZI KAZ MSADA KWA MAWASLIANO 0658853669 /0753533663/ ASANTE
Habari za mida naitwa Iddy naishi mkoa wa Dar es salaam natafuta kazi ya uderevaa nina cheti cha VETA na Lessen napatikana kwa no 0764087490 / 0625915015
Habari naitwa adam bakari mkali ombi langu kuomba kazi Nina uzoefu mkubwa nipo na chet cha form 4 nipo na basic driving ya vera na class c1 c2 c3 ya NIT
Naitwa fredy benitho naishi ukonga ninachet cha NIT namba yang u 0688841218
Naitwa Lameck saimon naishi mbagala Nina elimu ya kidato Cha nne pia nimesomea fani ya udereva katika chuo Cha taifa NIT mabibo .natafuta kazi nimesomea PSV na Nina leseni daraja c1,c2,c3
Naptaikana kwa number
:0656965390
:0788957154
Naitwa Nale A. Mapunda naishi Songea Manispaa, Elimu yangu ni kidato cha nne, ninataalma ya udereva nimesoma katika chuo cha NIT, pia ninaleseni ya uedreva daraja C, C1, C2, C3, D, and E. Ninauzoefu wa kutosha kwa muda wa miaka 8 nane. napatikana kwa namba hizi 0626-207-434 or 0756-210-577 or 0753-753060 e-mail aminapilly16@gmail.com.
habari naita SABAS SOSPETER MATABARO naishi MWANZA nina elimu ya secondary kidato cha nne nina taaluma ya udereva, na uzoefu wa miaka 9 natafuta kazi Ya udereva.pia nimtaalam wa kompyuta na umeme (domestic installation)
namba za simu za ndugu sabas ni 0752856932|0687733201 ana lecen yenye dalaja B,D,C1, C2, C3, C, E
Asalam aleikum ninaitwa omary saidy salim ninatafuta kazi ya udereva ninachet cha NIT VIP NINAISHI MSASANI
Asalam aleikum ninaitwa omary saidy salim ninavyet vya NIT VIP.NINAISHI MSASANI MAANDAZI ROAD NO.0673466565 AU 0683578090
Naitwa Hamis Tambalu, ninatafuta kazi ya udereva, ninauzoefu wa miaka kumi na nina cheti cha NIT na leseni yangu ni daraja B,D,C1,C2,C3,E,F,G.
Asalam aleykum kwa majina naitwa seleman saidi mkumbwa naomba na fas ya kaz ya uderev nina uzoefu kwa kutosha kwa sasa na fanya kazi kampuni ya kocacola bonite botlas moshi kikazi nimepangiwa arusha mawasiliano 0784848963 0846445452 nana cheti cha veta na lesen yangu ni C kavu asante
Kwa majina naitwa Rashidi Hamidu Abdallah nimkazi wa mkoa wa Mwanza naomba nafasi ya udereva sifa ninazo za kuomba ajila kwa vyeti vitakavyoitajika pia kinaozoefu wa kutosha mawasiliano 0689108133
Kwa majina naitwa hamidusadick athumani mkaz wa Dar es salaam naomba nafasi ya udereva sifa ninazo za kuomba ajira vyeti vinaniruhusu Kwa mawasiliano 0654087512
Wakubwa Shikoon na wadogo kwema naitwa stewart simon benedicto mkazi wa mwanza mtaa wa mkolan nilikuwa naomba
nafasi za kazi ya udeleva pia niana vyeti pamoja na lesseni kwa mawasiliano 0767869002 asanteni sana
Nitashukulu endapo mtasoma ombi langu
Habari naitwa ramadhani hemedi msangi nahitaji kazi ya udereva nilihitimu veta 2017 nina madaraja 6 ambayo ni A.B.C1.C2.C3.D natumai maombiyangu yatafanyiwa kazi.
Namba za sim 0658271676
Naitwa Mussa Robert naishi mkoa wa Mwanza nahitaji kazi ya udereva nicheti cha veta na lessen inamadaraja 10 A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F na G. Napatikana kwa namba 0684301555 asanteni sana
Kwa mkurugenz muajiri naitwa juma rashidi father naomba kazi ya udereva tanesco elimu yangu 4 leseni daraja c kavu cheti veta mawasiliano 0692564030 au 0715949799 nisaifiwe tafadhali
Naitwa juma rashidi father naishi mkoa wa daresalaam nahitaji kazi ya udereva ninachet Cha veta na leseni inamadaraja 7 D B E C C1 C2 C3 mawasiliano napatikana kwa namba 0692564030 au 0715949799 Asante sana
Mm ni Steven elisaphati magadi nipo mkoa wa Dar es salaam na tafuta ajira ya udereva ninachet cha veta na lêseni yangu madalaja D.B C1 c2 E ..na patikana kwa namba 0624095760.
Stevenelisaphat9@gmail.com 0624095760
Anaitwa Hassan Hamad Hassan.Nina umri wa miaka 34,ni kijana wa kitanzania.Ninaelimu ya kidato cha nne,N imesomea fan I ya udereva na Nina leseni ya madaraja A,D,C1,C2,C3,Nina uzoefu wa muda mrefu,Nina fanya kazi kwa U makini na uaminifu zaidi,
Naitwa erick Kashika maomba kazi ya udereva leseni yangu ni I crass nauzoefu wa miaka kumi kutoka mwanza asante
Kwa majina naitwa Shakiru Y.mustapha nina miaka 32
ninaishi dar esalaam, Ilala Tanzania.
Mh,Mk,n.k naomba unisaidie ajira ya Udereva wa kuendesha gari, kwani ninauzoefu mkubwa,ninaumakini na ni mahili pia nimchapaka kazi. Nina veti vya veta kipawa Tanzania. Vifuatavyo ninacheti cha ufundi simu na nina cheti cha Smart driving.lesen yangu inamadaraja yafuatayo
>B,C1,C2,C3,D,na E.Tafadhali viongizi namba mnisaidie kazi nitashukuru sana. Namba yangu ni:
0716974059.
Naitwa Robert asenga nipo mkoa wa dodoma naomba kazi ya udereva katika shirika la tanesco nauzoefu wa mda mrefu reseni na chet ninavyo
Naitwa issa natokea morogoro naomba kz ya udereva ninaleseni na cheti ninacho no,zangu 0685194127
Naitwa hamidu s athuman np dar es Salaam Julius Nyerere Airport naomba kazi ya udereva katika kampun yenu nina miaka 28 mawasiliano 0654087512
HABARI NAITWA KELVIN JOHN NAISHI KILIMANJARO NMESOMA VETA UDEREVA WA PSV NINAYO lesen c1c2c3 na E pia ninayouzoefu miaka 7 barabaran
Kelvin no 0755085006
Habari za majukumu mm naitwa Tizo Saganda Domiciani naomba kazi ya udereva kwenye kampuni yenu nina uzoefu na kuifahamu kazi hii zadi ya miaka 18 naishi dar es salama nina cheti grade2(NIT)leseni class(BDE)0653981811na0711332463 Licence no.4000309203 nitashukuru kama omni langu litakubaliwa kazi njema
Tizo saganda Domiciani naishi dar es salama naomba kazi ya udereva kwenye kampuni yenu ya Tanesco nina uzoefu na kuifahamu kazi hii zaidi ya miaka 18 Leseni yangu(BDE)nina cheri gred2(NIT)Licence no.4000309203 Simi yangu 0653981811,0711332463 nitashukuru kama omni langu litakubaliwa
Frank joakim magunia niashi dar naomba nafasi ya kazi ya udeleva Nina uzoefu na lesen yangu d,e,c1 na Nina Chet cha nit namba ya sim 0684004957
Frank mapunda naomb nafasi ya Kaz y udereva Nina chet Cha NIT dalaj C1 na E namb 0719141487
Emmanuel sitta
Emmanuel sitta naomba nafasi ya kazi ya udereva Nina cheti cha nit dalaja C1 na D na E 0786047538
Naitwa Leon paulo kessy ninaumri wa miak 25 ninauzoef wa kuendesha magar ya aina yoyote ile pia ni mkazi wa chanika talian naomba kazi kwenye kampuni yenu leseni ninayo nacheti ninacho naomba kazi kwenye kampuni yetu namb yangbhi 0623695549 or 0789285543
Naitwa bushiri anafi mchamala Nina umri wa miaka 30,mkazi wa mtwara ninauzoefu wa udereva ,Nina leseni dalaja,c1,c2,D,E, na vyeti,naomba kazi katika kampuni yenu kwa mawasliyano simu,0622391866 Asante,
naitwa emmanuel sitta ninaumri wa miaka 25 mkazi wakahama ninauzoefu wa udereva nina leseni dalaja D E C naomba kazi no0685466144
Tunaombeni mtupokelee maombi
0719234857
Kwa mawasiliano
Habari za majukum kwa majina naitwa Athumani h msamju ninaomba kazi ya udereva kwenye kampuni yenu nina uzoefu wa miaka 15 kwenye kazi ya udereva na nimeitimu chuo cha usafirishishaji cha (NIT) Na nina lesen ya class E Nitashukulu kama ombilangu lita kubaliwa asant
NAITWA FRANK ALOYCE NIPO MWANZA NAOMBA KAZI CALL +255746544644
Habari za majukumu wapendwa kwa majina naitwa: Samson waziri skaka taaruma yangu ni dereva nina leseni halali na cheti halali ombi langu la husu kazi ya udereva wa magari ya aina zote makubwa na madogo kwani nina uzoefu wa kutosha katika taaruma yangu na leseni ni class A.B.D.C1.C2.C3.C.E.NA.F
Naitwa meisho dule, nipo tabora
Natafuta kazi ya udereva
Nianauzofu mzuli na pia nimesomea mafunzo ya udereva nakupatiwa cheti na leseni, nipa tayali kufanya kazi mahali popote ntakapo itwa.
Mawasiliano, 0625833489
Naitwa ala lawrence nipo bariadi mkoani simiyu nina cheti cha udereva na leseni pia naomba kazi ya udereva mawasiliani yanu ni 0684305057
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 ,naomba kazi ya udereva ,nikiwa na imani nipatapo kazi hiyo nitaifanya kwa umakini na weled wa hali ya juu,piah nina elimu ya mpk kidato cha nne na cheti piah ,nimefuzu mafunzo ya udereva katika chuo cha NIT dar es salaam na kupata class c1,c2,c3,e,d nikiwa na uzoefu mpk sasa wa miaka kumi barabaran ,piah sijawah sababisha ajali ya aina yoyote,mim ni mtanzania halis na nimezaliwa mkoa wa kilimanjaro na ndipo ninapo ishi mpk sasa,nina iman ombi langu litakubaliwa vyema asante.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 ,naomba kazi ya udereva ,nikiwa na imani nipatapo kazi hiyo nitaifanya kwa umakini na weled wa hali ya juu,piah nina elimu ya mpk kidato cha nne na cheti piah ,nimefuzu mafunzo ya udereva katika chuo cha NIT dar es salaam na kupata class c1,c2,c3,e,d nikiwa na uzoefu mpk sasa wa miaka kumi barabaran ,piah sijawah sababisha ajali ya aina yoyote,mim ni mtanzania halis na nimezaliwa mkoa wa kilimanjaro na ndipo ninapo ishi mpk sasa,nina iman ombi langu litakubaliwa vyema asante.0744952544
Naitwa Leone Paulo Mero mwenye umri wa miak 26 ninaomba kazi ya udereva kwenye kampuni yenu nitakuwa mwaminifu na mchapa kazi Wala Sito waangusha pia ninauzoefu wa kuendesha magari ya aina yote nimefunzu mafunzo yangu ya udereva kwenye chuo kinachotambulika na sereikali N.I.T lesen yang A A2 B C1 C2 C3 D E Natumaini ombi langu litafanikiwa no 0623695549/0789285543
Habari. Kwa majina naitwa alleni mkazi wa dar es laam umri wangu ni miaka 28 nimekuwa mzoefu wa udereva ndani ya miaka nane nilikuwa na ombi la udereva katika kampuni yenu nimesomea udereva cheti Cha udereva ninacho leseni pia ninavyo nilikuwa naomba nipokelewe katika kampuni yenu naimani maombi yangu yatajibiwa nawahakikishia nitafanya kazi Kwa uwezo wangu wote na Kwa uaminifu wa hari ya juu naimani mtanipenda Kwa utendaji wangu wa kazi kusema yote hayo naomba niwashukuru Kwa ujumbe wangu kwenu pia Kwa mawasiliano namba 0714141818/0612121399 Asanteni
Naitwa paschal simwanza naomba kazi ya udreva nina cheti Cha psv leseni daraja c umlimiala 36 uzoefu miaka 5 n0788846607
Naitwa BUHARI HASSAN
Ninaumri wa miaka 35
Elimu yangu ni kidato cha nne,pia nimesoma koz ya udereva chuo cha veta na NIT grade two pia Nina leisen na uzoefu takriban miaka 10 bila kusababisha ajali hvyo ninaomb kazi ya ya udereva kwasanabu ninauziefu nayo nitashukuru kama ombi langu litakubaliwa 0710278723
Naitwa Rajabu msuya nipo moshi Kilimanjaro naomba nafasi ya kazi ya udereva miaka 24 uzoefu wa miaka miwili magari makubwa leseni class E namba yangu 0718482345
Naitwa Isac Emmanuely Ndalu nipo Dodoma kongwa naomba kazi kwani ninauzoefu wa miaka miwili nina leseni Cras B had G ni mchapakazi naipenda kazi yangu naamini maombi yangu yatajibiwa simu no 0620443523
Naitwa Andrew Conrad nipo tanga handeni jinomba nafasi ya kazi ya dereva nipo handeni tanga nimesoma BASIC DRIVING NA NA HGV reseni yangu ni DB E F G 0656657180
Naitwa Salum Salum ni dereva,umri ni 41miaka,leseni Namba 4000056829 ni mzoefu Na Nina cheti cha veta.Namba zangu ni 0714656508 UA 0785802706 naomba kazi mheshimiwa.
Naitwa EMMANUEL HOSEA MADENGE nina miaka 33 leseni yangu daraja C elimu kidato cha 4 uzoefu miaka 10 nina cheti cha veta cha PSV naendesha magari makubwa na madogo naomba kazi no 0654583059
Naitwa sospeter marco mkoa wa geita naomba kazi ninaleseni daraja D ninaelim form four
Naitwa sospeter marco ninaomba kaz nimehitim kidato cha nne na ninaleseni dalaja D no 0755644568/0626101531
Naitwa Salum naomba kazi ya udereva nauzoefu nayoo namuda nayo na chet na leseni namba zangu 0699385797
Naitwa Leon Paulo muro naomba nafasi ya kazi ya udereva katika kampuni yenu ya tanesco pia ninauzoefu wa kuendesha magari ya aina yote kwa miak 8 pia nitatoa ushirikiano mzuri katika kampuni yenu ya tanesco pia lesen yang darj A1,A2,B,C1,C2,C3,D, E. Natangulish shukran zangu za dhati kwako katika ujenzi wa taifa. Mawailiano yangu no.0789285543,0623695549
Habari Naitwa ally Mustafa hamadi mkazi wa chalinze mkoani pwani elimu yangu kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva na kupata leseni daraja D
Niko tayari kufanya Kazi mahari popote mtakaponipangia 0750804838.asante
Habari...
Naitwa ally Mustafa Hamadi mkazi wa chalinze mkoani pwani, umri 29 Elimu yangu kidato cha nne mwaka 2013 pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta na kutunukiwa cheti na kupata leseni daraja D,Ombi langu Ni kuomba nafasi ya Kazi,Niko tayari kufanya Kazi mahari popote mtakaponipangia.0750801838.Asante
Kwamajina naitwa GEOFREY STEVEN NIDELEVA ninacheti cha from 4 ninaleseni yenye madalaja D ,C1,C,NACHETI cha VIP GRADE 2 Ninauzoefu Wa njimbaya na nzuri na safali ndef namba 0623820947
Naitwa Simon lyanga kutoka singida.nina cheti Cha elimu ya kidato Cha nne,pia nina lesen pamoja na vyeti(basic&psv) nina uzoefu wa miaka miwili .mawasiliano yang 0781068740
Naitwa Robert Christopher nipo dar nina chet na reseni class d naomba kaz ya udereva asante kwa mawasiliano 0687551812
Naitwa Robert Christopher nipo dar nina chet na reseni class d naomba kaz ya udereva asante kwa mawasiliano
Robert Christopher 0687551812
Habari kwa majina na itwa BENEDICT SHUKURU MADIMO naomba na fasi ya kazi hii ya udereva kwenye comoany yenu nina uzoefu na kazi hii cheti cha driving ninacho pia leseni yangu ina madaraja matano likianza na C.one kwa mawasiliani namba :0680340776
Naitwa Bahati Peter naomba nafasi ya kazi ya udereva nina cheti cha veta cha Basic na leseni yangu ni class D mawasiliano yangu 0760356553 au Bahatipeter512@gmail.com
Naomba nafasi ya kazi ya udereva nina cheti cha secondary na nina cheti cha veta