NAFASI YA KAZI( ANATAFUTWA MSICHANA WA KUFANYA USAFI OFISINI ) KUTOKA MAKAZI INVESTMENT


Details
Application deadline 2017-06-03
Business / Employer name Makazi Investment Ltd
Position Type Full Time
Organization Type Private Sector
Location
Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Description
Makazi Investment Ltd inatangaza kazi ya msichana wa usafi kwa ajili ya kufanya usafi ofisi.
Vigezo na msharti ni kama ifuatavyo;-
  1. Awe na uzoefu wa kufanya usafi maofisini,
  2. Umri usizidi miaka 29,
  3. Ofisi ipo makumbusho kijitonyama, muombaji awe anaishi maeneo ya karibu ili iwe rahisi kwake kuwahi ofisini na kufanya usafi,
  4. Elimu kuanzia sekondari, muombaji awe mchangamfu na anayejituma.
namna ya kuomba, piga simu nambari 0656 186 260 utapewa utaratibu

Share :

Facebook Twitter Google+
43 Komentar untuk "NAFASI YA KAZI( ANATAFUTWA MSICHANA WA KUFANYA USAFI OFISINI ) KUTOKA MAKAZI INVESTMENT "

Jina langu Anna Haule Nina umri wa miaka 29 naishi kinondoni natafuta kazi ya usafi Nina ujuzi wa miaka 6 namba zangu ni 0711372172

Jina Langu nahali msalium, umri wa miaka 24,naishi kinondoni.Nina tafuta Kazi ya usafi,Nina ujuzi Wa miezi 3.namba zangu ni 0717878206

Jina language naitwa zawadi shio umri miaka 28.nina ishi mbezi Nina tafuta kazi ya usafi,Nina ujuzi wa miaka 3,number zangu 0769185920

Naitwa khadija msangi ninaishi mwenge bamaga ninauzoefu wakazi Za usafi katika maofisi Kwanzaa mawasiliano zaidi 0719002726/0684687079

Jina langu mwanaidi Ismail nimesomea hotel manegment in housekeeping mwaka mmoja na Nina experience ya miaka miwili katka kazi hiii no 0672962421

This comment has been removed by the author. - Hapus

Mimi naitwa teresia lorry naishi mbezi natafuta kazi ya usafi Nina uzoefu wa miaka 5

Jina langu naitwa Anita Aidan Ndimbo naishi Kimara Dar-es-salaam natafuta kazi ya Stationery (Secretary) Mawasiliano: 0689 781 808 /0694 237 961 Asante.

Naitwa Joyce nipo mwenge natafuta kazi ya usafi ofissin ninauzoefu mwaka mmoja 0686788054

Naitwa Pamela Noah natafuta kazi ya kufanya usafi maofisini Nina uzoefu wa muda mrefu 0786232271 au 0714464124

Jina langu Angela Julius natafuta kazi ya stationary au supermarket na uzoefu wa mda mrefu namba 0693093566 napatikana Dar es salaam

Mwakilishi toka MACP INTERNET MARKETING. Tunawatangazia watanzania wote wanaohitaji kufanya work from home jobs wajiandikishe kwa WhatsApp number 0717743312.

Naitwa Halima Abeid naishi morogoro napenda kazi za IT najitolea kufanya kaz namba yangu 0754452406

This comment has been removed by the author. - Hapus

Naitwa Ziada Hassan naishi Dar es salaam nimesomea introduction computer natafuta kazi ya secretary, usafi maofisini au kazi yoyote ya maofisini.Namba yangu ni 0693570570 Tukiwa Wakweli na waaminifu tunaweza kufanya kazi.

naitwa alex leopold proffesional ni mwl wa physics na chemistry na ujuz wa computer pia nina expirience ya biashara natafta kaz yoyote amabayo inaendana na ujuz wangu hapo juu namba angu ni 0746769639/0675359031 tusaidiane watanzania wote ni wamoja kwa ushilikiano asanten

naitwa alex leopold proffesional ni mwl wa physics na chemistry na ujuz wa computer pia nina expirience ya biashara natafta kaz yoyote amabayo inaendana na ujuz wangu hapo juu namba angu ni 0746769639/0675359031 tusaidiane watanzania wote ni wamoja kwa ushilikiano asanten

Naitwa vaileth natafuta kazi ya kuuza duka la vinywaji , duka la nguo, mgahawani, gest, kufua, kufanya usafi, kunyosha nguo, kupika, duka la nguo, super mkt, yoyote itakayo patikana nafanya kwa mawasiliano zaid.0683330905

Naitwa zainabu salumu natafuta mkazi ya saloon nna umri wa miaka 25 naish mbagara sm no 0685754163

Naitwa Asha Mkama natafuta kazi ya usafi,hotelini,duka aina yote,nipo kigamboni,no.0759404590

Naitwa Hawa omari ninamiaka25 naishi kimara baruti natafuta kazi ya suppermarket,duka,usafi nk.No 0676641374

Naitwa Anna bahati malisa natafuta kazi mimi nifundi nguo hasa kalicha nipo arusha

Naitwa jackrine Bernard mgani nipo mkoa wa iringa nimzoefu wa computer nimefanya kazi katika ofisi mbalimbali za stationery nimzoefu.tafadhari naomba kama Kuna kaz yoyoye nitafanya mawasiliano 0759224634 ahsante

Naitwa wahda Hamad nina umri wa miaka 24 natafuta kaz ya ofisini nina uzoefu wa miaka 2, naish gongo la mboto 0656140450

Naitwa AMINA naish arusha natafuta kazi ya hoteln au ya kuuza duka nitafurahi kama nitapata apa apa arusha namba zangu za cm n 0654369841.... Asanteni

Naitwa dora.natafuta kazi yakwenda na kurudi umri 21,iwe ya usafi,duka au kazi ya ndani kwenda na kurudi,naishi dar .namba zangu 0759266461

Naitwa Irene nipo mbezi nina umri wa miaka 24 natafuta kazi ya usafi ofisini nina uzoefu mwaka mmoja namba yangu ni 0757892898

Naitwa Myra natafuta Kaz ya mapokezi loji or sehem yeyote ile na uzoefu nayo sana na miaka 26 mwenye nayo anicheki 0788467774 Asante

This comment has been removed by the author. - Hapus

Naitwa Angel nina miaka 21 naishi Dar es salaam natafuta kazi ya Supermarket au duka namba zangu ni 0742555612

Naitwa florencia bikolela Nina miaka 29 natafuta kazi ya usafi ninauzoefu Kwa kazi hiyo 0784355729

Ninaitwa Dorcass Alex natafuta kazi ya usafi ninauziefu wa miaka 4

Ninaitwa Dorcass Alex natafuta kazi ya kufanya usafi , Nina uzoefu wa miaka 4, namba yangu 0693875295

Naitwa Aisha haruna natafuta kazi ya usafi nina uzoefu wa miaka miwili namba zangu ni 0688979741 nipo mbagala dar es salaam

Naitwa rehema,John nip Dar Natafta kazi ya usafi duk n.k nip keko

Ntafuta mschana anaejua kazi za saloon Niko Zanzibar..no 777067029

Kwa majiana nĂ itwa rithaa glaudens lyambiko NATAFUTA nakaz ya usafi Nina uzoefu wa miaka 5 za usafi naish kinondon dar es salaam no.0782198895

Habar, naitwa Cerry Godlove nipo kidato cha sita ninatafuta kazi ya usafi maofisini kwani nilifanya after 4 na nina uzoefu na kazi hiyo

Habar, ninaitwa Cerry Godlove natafuta kazi ya usafi nina miaka 19 nipo kidato cha sita ninauzoefu wa kazi hiyo kwani nilifanya after 4. (0679205341)

Habari naitwa Happyness Francis kaiza Ni mkazi wamorogoro ninaomba nafs ya kazi lakini iwepo ndan yamanispa ya morogoro

Hello! Natafuta msichana umri miaka 18 Hadi 28 muhudumu Wa Mgahawa wa kisasa, awe ni msafi mkalimu na mwenye mvuto, Alie tayari kufanya kazi,anipigie namba"0744268402 . location
Niko kahama

Habari, naitwa Monica Joseph natafuta kazi ya usafi wa ofisini nina umri wa miaka 25, nipo Africana, Kinondoni. 0623181360

Back To Top