HII NI TAARIFA MBAYA KWA MASHABIKI WA LIVERPOOL KUHUSU HALI YA SADIO MANE



Kufuatia kuumia kwa mchezaji wa clab ya Liverpol ya Nchini Uingereza SADIO MANE,Hatimae   maneja na kocha wa Klab hiyo JURGEN KLOPP amesethibitisha kwa kusema kwamba
"Sadio Mane anahitajika kufanyiwa upasuaji na hatoweza kucheza katika mechi zilizosalia za msimu huu"
Kufuatia taarifa hyo mchezaji huyo atakua nje mpaka mwisho wa msimu

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "HII NI TAARIFA MBAYA KWA MASHABIKI WA LIVERPOOL KUHUSU HALI YA SADIO MANE"

Back To Top