HUSSEIN BASHE:NIPOTAYARI KUFUKUZWA UANACHAMA ILA WABUNGE WA CCM MUACHE UNAFIKI



Mbunge wa Nzega Mjini(CCM) Hussein Bashe amewataka wabunge wa CCM kuacha unafiki kuhusu kuwateka watu na kwamba yeye ni mmoja wa watu waliokamatwa na usalama wa taifa wakati wa mkutano Mkuu wa CCM.
"CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama". Amesema Bashe
Bashe alikuja juu baada Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene kumtaka Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuthibitisha kuwa matukio ya ukamataji yanafanywa na usalama wa Taifa

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "HUSSEIN BASHE:NIPOTAYARI KUFUKUZWA UANACHAMA ILA WABUNGE WA CCM MUACHE UNAFIKI "

Back To Top