Bodi
ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewajibu rasmi Simba SC
juu ya sakata lao la kupokwa pointi tatu za mezani walizopewa baada ya
rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar wakidai kumcheza mchezaji Mohamed Fakhi
akiwa na kadi tatu za njano.
Kwa
mujibu wa barua kutoka katika Bodi ya Ligi zimesema kuwa Fakhi hakuwa
na kadi tatu za njano wakati akicheza mchezo dhidi ya Simba uliofanyikia
uwanja wa Kaitaba, Bukoba Aprili 2 mwaka huu.
"


0 Komentar untuk " BARUA RASMI KUTOKA TFF KUHUSU SAKATA LA POINTI 3 KATI YA KAGER SUGAR NA SIMBA SC"