NAFASI ZA KAZI( ANATAFUTWA MTU WA KUUZA MAFUTA YA KUPIKIA YA SOYA) KUTOKA TANSOYA-DAR ES SALAAM



Details
Application deadline:2017-06-05
Business / Employer name:International Tanfeeds ltd
Job role:Team / Middle Management
Position type:Full Time
Organization type:Private Sector
Location
Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Description
Anahitajika mtu wa mauzo kwa ajili ya kuuza mafuta ya kupikia ya soya kuzunguka dar na kupeleka supermarkets zote za dar es salaam. Atapewa suzuki carry ya kuzunguka nayo kwa hiyo lazima awe na leseni.

>>>CLICK TO APPLY 

Share :

Facebook Twitter Google+
12 Komentar untuk " NAFASI ZA KAZI( ANATAFUTWA MTU WA KUUZA MAFUTA YA KUPIKIA YA SOYA) KUTOKA TANSOYA-DAR ES SALAAM "

Nipo tayar kwa iyo nafasi vizuri kujua na kiwango cha mshahram pia Nina leseni lakini ni mzoefu kabisa wa masoko0785002200

Natafuta kazi ya udereva ofisini kwenu no 0675901618

Naitwa AMINA naish arusha natafuta kazi ya hoteln au ya kuuza duka nitafurahi kama nitapata apa apa arusha... Asanteni

Namba yangu ya cm n 0654369841

Naitwa yasini natafuta kaziyaukonda bamba 0685834484

Naitwa Ziada naishi Dar es salaam ilala natafuta kazi ya madukani,maofisini au stationary pia nina certificate ya computer no mbunifu Sana wa kudesign business card, matangazo,kadi na ratiba

Naitwa janeth,Naishi dar es salaam _temeke natafuta ajira ya kusafisha maofisini,viwandani ,Sheri n.k elimu yangu form 1v

Naitwa happy natafuta ajira ya part time elimu yangu ni form six

Naitwa nee ma jabiri natafuta kadi ya stationary au ya duka Nina certificate ya veta mamba ya Simu 0628606012

Mimi Essau natafuta ajira ya uendeshaji gari nina cheti na license ya udeleva daraja A D E kwa mawasiliano namba yangu 0716165620

NAITWA JOSEPH JULIUS MIDIMU
(0686253912)
josephmidimu124@gmail.com
NAHITAJI KAZI YA KUUZA MAFUTA SHELI LOCATION YOYOTE.

Naitwa shabani doba
Natafuta kazi ya kuuza mafuta Sheri nipo Dar es salaam gongolamboto 0693706053

Back To Top