ALEXIS SANCHEZ ANAHUSISHWA KUHAMIA KLABU HII






 Tetesi za uahamisho wa mchezaji wa Arsenal Alexis Sanchez  kuhamia klabu ya Manchester city zimeongezeka mwanzoni mwa wiki mara baada ya vyombo vya habari vya  Nchini Chile ambapo ndiko anakotoka mchezaji huyo  kuandika kua Sanchez anatarajia kujiunga na Manchester city  ambapo mkataba wake unaisha miezi 14 ijayo na hakuna ishara yoyote inayomuonyesha kua  anaweza kuongeza mkataba kuendelea kuichezea Arsenal

Sanchez amefunga mabao 18 katika ligi kuu ya uingereza  kataika msimu huu  na pia anahusishwa na usjili utakaogharimu Pauni milion 50,
Taarifa za Manchester sity kutaka kumsajili  sanchez  hii ni kutokana kua mwanzoni mwa wiki vyombo vya habari vya chille vimeripoti kua SANCHEZ amekubali kua ataondoka Arsenal na kujiunga na klab  hiyo ya manchester city and yupo mbioni kukubaliana nao 


ASANTE KUENDELEA KUSOMA HABARI KATIKA BLOG HII ILI KUENDELEA KUPATA HABARI ZAIDI TAFADHALI LIKE PAGE YETU YA kiraminews  ILI KULIKE PAGE  bonyeza hapa

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "ALEXIS SANCHEZ ANAHUSISHWA KUHAMIA KLABU HII "

Back To Top