BARCELONA YACHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA MALAGA KATIKA LIGI KUU NCHINI HISPANIA





Klabu ya Barcelona imejikuta katika wakati mgumu baada ya kukaziwa na Malaga kwenye dimba la Estadio La Rosaleda mbele ya mashabiki 28314.  Malaga wamepata magoli 2 yaliyofungwa na Sandro Ramirez dakika ya 32 na dakika ya 90 Jony akaipatia Malaga goli la pili.
Image result for malaga vs barcelona
Katika mchezo huo Neymar alilimwa kadi ya njano na mwamuzi kutoka Hispania Jesus Gil. Licha ya kwamba Barcelona wameeongoza kwa kumiliki mpira kwa 66% wameshindwa kutumia nafasi.246294hp2
Kwa matokeo haya sasa, Bacelona amebaki  nafasi ya pili baada ya kucheza mechi 31, huku akiwa na pointi 69 wakati Real Madrid akiwa amecheza michezo 30 na kubaki na pointi 72. Ikumbuwe kuwa Real Madrid amedroo na Atletico kwa goli 1 -1 tarehe 8 Apri, 2017.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "BARCELONA YACHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA MALAGA KATIKA LIGI KUU NCHINI HISPANIA "

Back To Top