BREAKING NEWS:SERIKALI KUWAFUTA KAZI WALIMU WA SEKONDARI WENYE SIFA HIZI



Waziri wa Tamisemi  waziri wa tamisemi mh.simbachawene amesema leo katika vikao vya kamati ya bunge kuwa serikali ina mpango wa kuwaondoa kazini (redundance) walimu wote wa sekondari ambao walipata daraja la nne kwenye mitihani yao walipokuwa wakisoma kabla hawajawa walimu.

amesema zoezi hilo linalenga kupata nafasi za kuajiri walimu wapya kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambao wamemaliza vyuo vya ualimu na kufaulu vizuri.

aidha madeni yote ya walimu watakaoondolewa kazini yatalipwa kwa wakat

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "BREAKING NEWS:SERIKALI KUWAFUTA KAZI WALIMU WA SEKONDARI WENYE SIFA HIZI"

Back To Top