CHELSEA (VIJANA)YACHUKUA KOMBE LA FA KWA MARA NNE MFULULIZO BAADA YA KUILAZA MANCHESTER CITY MABAO 5


Timu ya vijana ya Chelsea imeendelea kufanya makubwa mara baada ya usiku wa jana kuifunga Manchester city mabao matano kwa bao moja la manchester city.
Katika mchezo huo mabao yamefungwa na Trovoh Cholobah dakika sita,huku Ike Ugbo akifunga bao la pili katika dakika ya 24.
Chelsea iliendelea harakati zake za kufunga baada ya CULLUM HUDSON ODIO kuifungulia goli la tatu,na mabao mawili ya kumaliza mchezo yalifungwa na Sterling dakika ya 60 na Cole da salva.
Mchezo huo umechezwa katika raundi ya pili baada ya raundi ya kwanza chelsea kutoka sare na manchester city katika uwanja wa Etihad.
Kwa kikombe hiko cha FA kimeifanya chelsea kuchukua FA kuchukua kikombe hiko mara nne mfululizo

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "CHELSEA (VIJANA)YACHUKUA KOMBE LA FA KWA MARA NNE MFULULIZO BAADA YA KUILAZA MANCHESTER CITY MABAO 5"

Back To Top