Usiku wa kuamkia LEO kulichezwa mechi iliowakutanisha miamba miwili ya nchini hispania ambapo Real madrid walipowakaribisha wenzao Barcelona ambapo matokeo yalisomeka Barcelona tatu na Madrid mbili lakini katika mchezo huo Sergio Ramos alitolewa nje kwa kadi nyekundu na wakati anatoka alionekana kuongea kwa ishara ya vidole imbapo imetafsrwa mambo mengi lakini ukweli wote ameungea sargio ramos alipokua akiongea na Daily mail ambapo kasema
Nilipokua natoka uwanjani mara baada ya kupewa kadi nyekundu sikuwa anongea au kumfokea refa bali nilikua naongea na Peque" amesema
Muda mwingine marefa hua wakweli na muda mwingine hua waongo na kama watu wanadai niliku naongea na refa huo ni uzushi mkubwa mimi nilikua naongea na Pique " kaongezea
Wenzetu walikua wanaulewa tofauti na mchezo and ndo maana walikua kila muda wakiongea na refa na sisi hatuna tabia hyo kuongea na refa na ndo maana hatukuweza kufanaya hivyo kama walivyokua wakifanya wao na mimi sina tatizo na Peque " amemalizia
0 Komentar untuk "HAYA NDIO MANENO ALIOONGEA SERGIO RAMOS WAKATI AKITOKA UWANJANI BAADA YA KAZI NYEKUNDU "