UTANGULIZI
Moja ya mikakati ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika kuandaa walimu ni kuhakikisha kuwa wanaojiunga na
Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada ni wenye sifa stahiki.
Kwa
kuzingatia hilo, waombaji wa mafunzo haya ni wenye ufaulu wa Daraja la
Kwanza hadi la Tatu katika mtihani wa kuhitimu Kidato cha NNE na SITA.
Aidha, kutokana na
upungufu mkubwa wa walimu wa Sayansi na Hisabati, kipaumbele katika
udahili kitatolewa kwa waombaji waliofaulu
masomo haya.
20 Komentar untuk "MAELEKEZO YA MAOMBI YA VYUO VYA UALIMU KWA NGAZI YA DIPLOMA NA CHETI (GRADE A) "
Naomba nafasi ya kusomea ualimi gazi ya stashahada mhura wa 2022/2023 nilimaliza Four 2019 na nikatoka na division III nikapelekwa chuo Cha utumishi wa Umma nimesoma mwaka mmoja.
Naomba nafac ya kusomea ualimu ngazi ya Cheri, nilimalza form four 2018 nikatoka na division lll ya 24, nikachaguliwa kujiunga na chuo Cha uhasibu temeke, sikufanikiwa kwenda kutokana na changamoto za ada
Naomba nafasi ya kujiunga na chuo cha uwalimu ngazi ya cheti cha form four ambapo nilipata division 3 point 25 na nilipangiwa Dodoma chuo cha ombolo ngazi ya local government mwaka 2022,nimeshindwa kujiunga kwa sababu ya changamoto ya ada
Naomba nafasi katika chuo cha dakawa college nimemsliza form four 2021 na nimepata division 3 point 25 nimechaguliwa chuo cha ombolo Dodoma kutokana na changamoto za ada
Naomba nafasi katika chuo Cha ualimu chochote mkoani mbeya nilimaliza kidato Cha nne Nina ufaulu was daraja IV ya 26
Naitwa meshack tu.aini ngondo naomba nafasi ya kujiunga na chuo chochote mkoani mbeya nilimaliza kidato Cha nne mwaka 2022 kwa ufaulu was darajaIV ya 26
Naomba nafasi ya kujiunga na chuo chochote cha ualimu nlimaliza 2016 nna certificate ya ualimu shule za msingi nataka kupata diploma sijaajiriw bado
Naitwa milan naomba nafasi ya kujiunga na chuo cha ualimu Dar es salaam nmemaliz form four 2021
Naomba nafasi ya kujiunga na chuo cha ualimu diploma , nimemaliza 2015 ,na Nina certificate ya ualimu wa msingi 2019
nn
Mimi nimemaliza Grade A napataje chuo Cha ualimu DAR ES SALAAM nataka kwenda kusoma Diploma ya Ualimu?
Naomben msaada namba Yangu ya Simu 0717911671
Mimi Zephania nmemaliza Mwaka 2019 Form four nmefaulu Kwa daraja 2(division 2 ya 21) nikapangiwa chuo Cha DMI(DAR ES SALAAM MARITIME INSTITUTE) Nkasoma Mwaka mmoja tu sikuweza kuendelea kutokana na changamoto za ada,hivyo now nahitaji kujiunga na Chuo Cha ualimu Kwa masomo ya Science (chemistry, Biology, Geography, English na mengine ya Art)
Mimi rosalia mapunda naomba kujiunga katika chuo chenu kwa masomo ya history na civics nimemaliza kidato cha nne mwaka 2022 nimepata division 2 ya 21
Naomben msaada wenu mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2022 nimepata lv ya 26 napenda kuwa mwalimu
Kwa jina naitwa pyurit nimemaliza kidato Cha IV mwaka 2021 nimepata wastani wa III ya 23,ambayo SoMo la civics C, History D, Geography C, kiswahili B, English language C,literature in English D, Biology D, Mathematics F naomba kusoma chuo chochote Cha walimu kilichopo dar es salaam
Mimi karimu eliamini guga ambae nimemaliza kidato cha nne shule ya sekondari mahezangulu makamba kwa namba ya mtihani ni s4402/0042. mwaka 2022 kwa wastani wa 3 ya 25, ambayo somo la civics c,history d,english language d,biology d,mathematics f,geogragh c, kiswahili b, kutokana na ufaulu huo nikachaguliwa chuo cha biashara ilala mkoani dar es laam. kutokana na changamoto ya ada naomba kujiunga na chuo cha ualimu patandi
Naomba nafasi ya kusoma spesho Diploma ya ualimu kwa masomo ya Physics na Mathematics. Namba yangu ya usajili ni S.1877/0182
Naomba nafasi ya kusoma spesho Diploma ya ualimu chuo cha ualimu Kasulu masomo ya Physics na Mathematics. Nilimaliza form four mwaka 2011, namba yangu ya usajili ni S.1877/0182
Naomba nafasi ya kusoma Sharif's diploma ya ualimu chuo cha selikali chochote morogoro nimemaliza fform four mwaka 2022 namba yangu ya usajili no s.4926/0113
Mimi nimemaliza kidato cha nne nikapata three ya 22 nimechaguliwa chuo dareesalaam,nimesoma nusu semister kozi siipendi napenda kuwa mwalimu kwahy nahitaji msaada wa kusoma chuo cha serikali cha ualimu wa chemistry and biology