MHESHIMIWA PAUL MAKONDA AMEWAHI KUNITISHIA USALAMA WANGU:AESHI HILLALY MBUNGE WA SUMBAWANGA


Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeshi Hillaly amesema yeye ni mmojawapo wa wabunge waliotishwa na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda  mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

Amesema hayo leo wakati akichangia hotuba ya bajeti waziri mkuu na taasisi zake kwa mwaka 2017/18.

Amesema yuko tayari kutoa ushahidi ukihitajika na kwamba anaogopa kwenda mkoa huo hivi sasa ingawa anapatamani. 
Hayo yameongelewa bungeni leo  na mbunge  huyo mijini dodoma

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "MHESHIMIWA PAUL MAKONDA AMEWAHI KUNITISHIA USALAMA WANGU:AESHI HILLALY MBUNGE WA SUMBAWANGA"

Back To Top