SERENGETI BOYS WATOKA SARE NA GHANA KUFUTIA GOLI MBILI WALIZOFUNGA DAKIKA ZA NYONGEZA













Mechi ya kirafiki iliochezwa leo kati ya serengeti boys ya Tanzania na wenzao wa Ghana mpira umeisha kwa kwenda suluhu,vijna wa Ghana ndio walikua wakwanza kufunga ambapo goli la kwaza limepatikana katika dakika ya 22 kupitia mchezaji wao aitwaye IBRAHIM, mpaka mapumziko GHANA 1 na serengeti boys sufuri,
katika kipindi cha pili kuanza serengeti boys katak harakati ya kutafuta goli waliongezwa goli lingine katika dakika ya 74 kupitia mchezaji wao aitwaye IDRISA,
Lakini vijana wa serengeti boys hawakukata tamaa dakiki za kuongeza ya 94 wakapata goli kupitia mchezaji aitwaye ASADI lakini pia dakika ya 99 wakapa goli la pili kupitia mchezaji aitwaye MALIMA ,Mpaka mpira unaisha srengeti boy mbili na ghana mbili

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "SERENGETI BOYS WATOKA SARE NA GHANA KUFUTIA GOLI MBILI WALIZOFUNGA DAKIKA ZA NYONGEZA"

Back To Top