SIMTAMBUI PROF.LIPUMBA NA MIMI BADO NI KATIBU MKUU WA CUF-MAALIM SEIF












Jana  Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif alifanya mahojiano na kituo cha Television cha Azam two na kusema hamtambui mwenyekiti wa chama hicho Pro. Ibrahim Lipumba pamoja na uwamuzi aliochukuwa wakumuweka kando na nafasi yake kukaimiwa na Magdalena Sakaya.

Malim Seif alisema  hawezi kwenda ofisi za Buguruni kwa kuwa makao makuu ya chama hicho yapo Zanzibar na sio Dar es Salaam
Na katika mahojiano hayo yalionyeshwa na kituo cha Azam TV Jana ,Maalim Seif amesema anamshangaa msajili wa vyama vya siasa kuegemea kwa Lipumba


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk " SIMTAMBUI PROF.LIPUMBA NA MIMI BADO NI KATIBU MKUU WA CUF-MAALIM SEIF"

Back To Top