WALIMU WASITEGEMEE NYONGEZA YA MSHAHARA 2016/2017-"WAZIRI SIMBACHAWENE"



Serikali kupitia kwa waziri wake Mh. Simbawachene amesema watumishi wasitegemee kupata nyongeza yoyote kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Amesema labda madaraja sawa ila hilo la nyongeza na increment hatafanya .
Hadi sasa viongozi wa chama C. W. T wanatafuta namna ya kumwendea wakamuulize baada ya waziri kudai maswali mengine yeye hana majibu ila Rais mwenyewe
Taarifa hii hapa


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "WALIMU WASITEGEMEE NYONGEZA YA MSHAHARA 2016/2017-"WAZIRI SIMBACHAWENE""

Back To Top