Details
- Application deadline
- 2017-06-30
- Business / Employer name
- Barbershop
- Job categories
- Beauty & Salon
- Job role
- Experienced
- Position type
- Full Time
- Organization type
- Private Sector
Location
Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Description
Tunatafuta Kinyozi mwenye utaalam na uzoefu wa kufanya kazi katika
Barbershop ya hadhi ya juu.Awe msafi,mtanashati ,smart na mwenye uwezo
wa kutoa huduma bora kwa wateja.
Piga simu kama uko interested.+255686200044
6 Komentar untuk "NAFASI YA KAZI BARBERSHOP ( KINYOZI)- DAR ES SALAAM"
Natafuta kazi ya saloon ( barbershop)
Mi nimsichana wa miaka 23 nataft kazi ya salon ya kiume pamoja na hivyo scrub masage ninauzoefu nioo dar es salam buza no 0674181862
Natafuta kanzin barber shop ninauzoefu nakanzi . 0744449807
Natafuta kazi ya kinyozi ninauzoefu wa miaka 8 0740 1844 57
Natafuta kaz ya kunyoa barbershop ninauzoefu said ya miaka 10 namba zangu 0783835542
Natafuta kazi ya kunyoa nipo dar uzoefu zaid ya miaka mitano 0678989542