HATIMAE ASKOFU GWAJIMA AACHIWA HURU KATIKA KESI YA KUTUMIA LUGHA CHAFU ILIOKUA IKIMKABILI

 
 
 
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya kutoa lugha chafu inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima.
 
Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha aliifuta kesi hiyo leo chini ya kifungu cha 225 cha sheria ya Mwenendo wa Makosa ya jinai (CPA).
 
Kesi hiyo imefutwa baada ya Wakili wa Serikali, Joseph Maugo kueleza kuwa hawakuwa na shaidi na kuomba wapewe ahirisho.
 
Katika uendeshwaji wa kesi hiyo upande wa mashtaka uliita shahidi mmoja kwa miezi 14.
 
Katika kesi hii, Gwajima anadaiwa kuwa kati ya Machi 16 na 25,2015 Tanganyika Packers Kawe alitumia lugha chafu na kumdhihaki Muhadhama wa Kanisa Katoliki Askofu Kardinal Polcarp Pengo

 AHSANTE KUENDELEA KUSOMA HABARI KATIKA BLOG YETU 
ILI KUPATA HABARI KWA WEPESI ZAIDI LIKE PAGE YETU YA kiraminews
ILI KULIKE PAGE YETU bunyeza hapa

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Komentar untuk "HATIMAE ASKOFU GWAJIMA AACHIWA HURU KATIKA KESI YA KUTUMIA LUGHA CHAFU ILIOKUA IKIMKABILI"

Back To Top