WAZIRI simbachawene jana alipokua akiongea na waandishi wa habari katika kueleza kua serikali imetoa ajira ya walimu 3081 haya ndio alioongea kuhusu uchache wa walimu wa sanna
Amesema walimu wanaohitajika kwa masomo hayo ni walimu 43,248 lakini waliopo kwa sasa ni 17,252 pekee.
Amesema
kwa sasa serikali ina shule za sekondari 3,602 na kati ya hizo shule
333 ni za kidato cha tano na sita huku zingine 54 za kidato cha tano
zimeanzishwa .
Aidha
amesema shule hizo za sekondari kwa upande wa masomo ya Sanaa ina ziada
ya walimu 7,463 ambapo waliopo ni walimu 63,240 na wanaohitajika ni
walimu 55,777.
“Kutokana
na ziada hiyo ya walimu wa Sanaa serikali imeanza kuchukua hatua
yawahamisha walimu hao katika shule za msingi ili kuziba upungufu wa
walimu katika shule hizo’’ alisem
0 Komentar untuk "SERIKALI YAKIRI KUA KUNA UPUNGUFUWA WALIMU 55,777 WA MASOMO YA SANAA "